FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Bado dkk ngapi? Mpira unapoteza muda jamani imagine badalq nilale
 
Feitoto kama kawaida yake. Ustar wake akicheza na Simba tu. Ananikumbusha enzi ya SMG na Dua Said
 
Hapa bwana nabi ana mechi zake tatu za kuokoa kibarua chake. Tunaanza na ya mtani......
 
hawa al hilal kumbe nao wabovu tu, ni vile yanga hawakujipanga kumaliza mechi dar
 
Back
Top Bottom