Timu kubwa ni SSC hilo liko waziPole mamii ushindi ulitakiwa lupaso hakuna timu ndogo Africa
Feisal anatoka tena??
Hii sub sijaielewa
Kabisa.. inashangaza sana etiMpaka kufikia mishale hii nimekubali kushindwa
Njeeeeee
Kabisa hata wachezaji wanajua jinsi yakucheza michuano hii. Hata km angebaki Matola ingepita...Timu kubwa ni SSC hilo liko wazi
Refa kawaokoaLapili hukooooo