KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Kwa hiyo mnaenda CAS? Uto kama uto na timu lenu bovu.Sina Cha kuwadai wachezaji wa Yanga kunamambo yanakua juu ya uwezo wa wachezaji. Mpira umechezwa dakika 70 tu na umeisha.
Tarehe 23Hivi Malengo ya Yanga n Usajili wote ule ni nini...??
Eti uwanja ulikuwa na vichuguu chuguu ...Mtaambia nini watu
Kuchukua ubingwa wa NBC, na kucheza Makundi CAF.Hivi Malengo ya Yanga n Usajili wote ule ni nini...??