Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kumsahau na ArsenalBest Sunday Ever
Simba✔
Yanga❌
R Madrid ✔
Liverpool ✔
Mbivu na mbichi zimeshajulikanaKocha Wa mchongo Wa vyombo vya Habari...!
Nabi huyu kabla ya kutua Yanga alitimuliwa na El Merrekh baada ya kuona Hana jipya Kimataifa.
Lkn Wachambuzi wetu Kila mara Walikuwa wanampamba kwa kiremba Cha ukoka!
Eti walijifananisha na VIPERS...Kimsingi hii mechi iliisha Dar es salaam, ni Mara chache sana ukishindwa mechi ya kwanza nyumbani kwenda kushinda ugenini.
.Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk Qmmmk Qmmmmk
Yanga mwezangu nawe unatuita hilo jina baya?Utopwinyo wanaupiga mwingi paka unamwagika
Kuifunga simba tarehe 23Mimi sijajua Malengo ya hii club ya Yanga...
Ndivyo ilivyo shaka ondoaNina wasiwasi Yanga kuna ndumba sana
Alafu kweli...yule sii ndio aliletwa kucheza mechi hizi lakini ndio yupo bench🤣🤣🤣🤣 utopwinyo bwana sijui usajili wanafanya wakiwa chooni🤣🤣🤣🤣Oya yule mchezaji wenu kutoka sijui new castle kwani hayupo??View attachment 2389523
ni kuifunga Simba tu.Mimi sijajua Malengo ya hii club ya Yanga...
Kuifunga Simba na huku mwiko ukiwa nyuma yao.Mimi sijajua Malengo ya hii club ya Yanga...
Halafu akaja Tz kakutana na bahati ya mchawi kukuta mlango wazi. Simba, Azam, Namungo, Mtibwa zote zilikuwa mbovu.Nabi huyu kabla ya kutua Yanga alitimuliwa na El Merrekh baada ya kuona Hana jipya Kimataifa
Ngoja tuone...Diarra alikuwa na haja gani kupiga chenga halafu akiona mkabaji anakasi anaamua kuubutulia nje mpira?
Hili nalo hamuoni haja ya kuliweka kwenye moja ya kero za leo?