FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Kocha Wa mchongo Wa vyombo vya Habari...!

Nabi huyu kabla ya kutua Yanga alitimuliwa na El Merrekh baada ya kuona Hana jipya Kimataifa.

Lkn Wachambuzi wetu Kila mara Walikuwa wanampamba kwa kiremba Cha ukoka!
Mbivu na mbichi zimeshajulikana
 
.
 
Tutashtaki fifa maana profesa nabi alizuiwa kufika uwanjani.
 
Nabi huyu kabla ya kutua Yanga alitimuliwa na El Merrekh baada ya kuona Hana jipya Kimataifa
Halafu akaja Tz kakutana na bahati ya mchawi kukuta mlango wazi. Simba, Azam, Namungo, Mtibwa zote zilikuwa mbovu.

Sasa athubutu msimu huu kutetea ubingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…