FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

Faulu inapigwa eneo zuri kipa wa Al Hilal anadaka
 
Unapigwa mpira wakushambuliana hapa Taifa
 
Refa anapeta hapa Wasudani wanakosa goli la wazi hapa
 
Goal Kipa wa Al hilal anafaya Save ya maana sana hapa uwanjani
 
Another beautiful save inafanywa na kipa wa Al hilal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…