Al hilal ndio wana kikosi kizuri...Wasudani wanajua mpira sana
Wanajitahidi sana.
Pamoja na Nchini mwao hakuna Amani
Safi sana umetoa update ki usafi sana hizo pisi ongea nazo huwa hawana shidaWakuu zile Pisi za Kisudani zimefika hapa
Changamka sasa, ikiwezekana kwa kuanza uchukue hata namba kwa leo, mengine utamalizia mbeleni.Wakuu zile Pisi za Kisudani zimefika hapa