unakitu utafika mbali sana mkuuAlgeria vinara wa Kundi F katika kufuzu kwajili ya AFCON watawaalika Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo utakaofanyika katika dimba la Annaba huko Algeria.
Taifa Stars yenye alama 7 inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili iweze kufuzu huku Algeria ikikamilisha ratiba ikiwa na alama zake 15.
Pia Taifa Stars itakuwa inaiombea mabaya Uganda (The Cranes) katika mchezo wake dhidi ya Niger. Ikumbukwe Uganda ina point 4 ikishinda kwa magoli mengi itaweka rehani nafasi ya Taifa Stars.
Mechi zote ni saa 4:00 usiku
Kila la heri Taifa Stars🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Na serikali Haina mpango wa kuonyesha game hata Moja! TumerogwaMechi zote ni saa 4:00 usiku
Kila la heri Taifa Stars🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Uganda wapo ugenini pia, kocha wa Algeria alitangaza atachezesha kikosi cha pili, wanamchezo wa kirafiki na Senegal.
Meneja yupi ?Halafu kumbe meneja wa simba kaitwa timu ya taifa halafu wamefanya siri. Hii timu utadhani ni ya watu wachache
Mmeanza u Simba na YangaHalafu kumbe meneja wa simba kaitwa timu ya taifa halafu wamefanya siri. Hii timu utadhani ni ya watu wachache
Yule whiteMeneja yupi ?
Hana Jina mkuu ?Yule white
Tafuta jina la meneja wa simba acha uvivu dogoHana Jina mkuu ?
Michael IgendiaTafuta jina la meneja wa simba acha uvivu dogo
Ndo huyoMichael Igendia
Kahamishiwa wapi ?Ndo huyo
Nadhani kaitwa timu ya taifa Tanzania ndiyo maana kitambo amekuwa haonekani pale Simba. Ssiku za nyuma alikuwahi kutumika pia timu ya taifa, nadhani baada ya mechi ya leo atarudiKahamishiwa wapi ?
Hata waarabu wa kaskazini wakicheza wenyewe kwa wenyewe huwa ni vita. Yaani sisi kila AFCON kuingia ni mpaka tubebweTanzania ni nchi ya Kiarabu au hujui Hilo ?