3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Mzize tangu amkatae Kristo kuwa Bwana na mwokozi wake ameishaHii timu bora ikose tu nafasi ya kufuzu. Maana ukiona mpaka Clement Mzize anaanza, ni ushahidi tosha kama Taifa hatuna wachezaji wenye viwango vya juu wa kulibeba Taifa.
Na goli kipaHuyu Kelvin Daniel wa Algeria ndiyo jina la Kikristo pekee kwa hawa Algeria au na yeye ni sawa na Mzize tu
Ni ngumu sana kupata sare, japo naona muda unakimbia sana...Wakuu mkiingalia tutakomaa hivi tukapata sare?
Kipindi cha pili Algeria anaweza akaingiza nyota wakeWakuu mkiingalia tutakomaa hivi tukapata sare?
Ha ha na sisi tutaingiza mkuuKipindi cha pili Algeria anaweza akaingiza nyota wake
Nahisi kipa wao anaitwa AndreaHuyu Kelvin Daniel wa Algeria ndiyo jina la Kikristo pekee kwa hawa Algeria au na yeye ni sawa na Mzize tu
Dah tuendelee na dua tu kama Wydad uwanjaniNi ngumu sana kupata sare, japo naona muda unakimbia sana...
Hofu yangu ndo subs za kipindi cha pili,utashangaa watakaoingia wakabadili matokeoKipindi cha pili Algeria anaweza akaingiza nyota wake
Haya sasa, amebaki Algeria kushinda tuu waache ujinga nyumbani.Uganda washinde nyingi waache ujinga uwanjani