FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Zimebaki 2

Na Dickson Job amefanyiwa faulo

So hapo kuna dakika moja itayopotea akiwa ru amelala
 
Hivyo hivyo Refa usiwaruhusu hao mabwege wapate utulivu
 
Sema woyoooo woyoooo hurray hurray! Congratulations 👏🎉 to Taifa stars kwa kufuzu afcon 🤗😍❤️🎉🥰
 
huu mpira starz ana pita kama fainali ya ngao ya jamii kwa nyau dk 90 anaishi kwa mashaka
 
Wakuu tukaze kupiga dua tumalize aya za mwisho za sala ,tusiache sala njiani tutaumbuka
 
Back
Top Bottom