BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Dah gg tumeliwa!
Umeona Egypt kasukumwa ila refa kapeta?Ni vizuri, ili Argentina ikija kufunga magoli ya kawaida msije kusema imebebwa.
Imebebwa wapi? Tatizo la kukaririshwa.Kwa hiyo huoni kabisa kama inabebwa?
Egypt 1,Argentina 0Ngapi ngapi huko
Dah si mchezo,Niko Mbali na TV ,bado first halfEgypt 1,Argentina 0
Amen.Sina undugu na Waarabu! Ila hawa Waargentina ndiyo kabisaa. I wish Egypt wangeshikilia bomba ili vita kati ya Ronaldo na Messi ifikie tamati. Huu ni wakati sasa wa akina Mbape nao ku shine.
Yeah dakika ya 43Dah si mchezo,Niko Mbali na TV ,bado first half
Timu ni vipofuKwa hiyo huoni kabisa kama inabebwa?
Vita ya Cr7 na Messi ilishakwisha, kilichobaki ni mapenzi binafsi.Sina undugu na Waarabu! Ila hawa Waargentina ndiyo kabisaa. I wish Egypt wangeshikilia bomba ili vita kati ya Ronaldo na Messi ifikie tamati. Huu ni wakati sasa wa akina Mbape nao ku shine.
Ngoja tuoneShikilieni bomba hapo hapo na ikibidi fungeni la pili .