Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hawa wangecheza na Hispania jana, safari yao ingeishia hapo
Goli likirudi tu Misri hawana chaoMafarao shikilieni hapohapo. Hivi vitoto vya FIFA vinaamza kuleta mazoea
Kombe liliishapangwa kwenda Spain!Argentina wamerogwa leo mboni wanacheza km wameridhika kutolewa?
Hivi linaweza kupangwa vipi wakati mpira ni mchezo wa waziKombe liliishapangwa kwenda Spain!
Kuna siasa za World Cup! 😅Hivi linaweza kupangwa vipi wakati mpira ni mchezo wa wazi
Bora ili watu tunywe maji leoMwee Argentina bye bye