FT: Argentina 3-2 Egypt | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 7 Julai, 2026 | 1:00 Usiku | Egypt yaaga mashindano

FT: Argentina 3-2 Egypt | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 7 Julai, 2026 | 1:00 Usiku | Egypt yaaga mashindano

Andunje ndio anafanya wabebwe
Argentina wamepoa sana leo hawachezi wanatembea tu uwanjani km wapo sokoni wakati Misri wanakamia magoli Argentina wanafika kwenye goli la Misri wanaleta urembo urembo tu hawataki kufunga wala kulazimisha bao hawataki
 
Allahu Akbar😆
بِسْمِ الله، مِصْرُ تَبْقَى عَظِيمَةً. 🇪🇬
مُنْتَخَبُ مِصْرَ هُوَ فَخْرُ العَرَبِ وَأَفْرِيقِيَا،
رُوحٌ قَتَالِيَّةٌ، وَعَزِيمَةٌ لَا تَنْكَسِرُ،
وَتَارِيخٌ مَجِيدٌ يَكْتُبُهُ الأَبْطَالُ فِي كُلِّ مَلْعَبٍ.
دَائِمًا نَحْنُ مَعَ الفَرَاعِنَةِ... إِلَى الأَمَامِ يَا مِصْر! 🇪🇬⚽


🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom