Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Kwa Leo naenda kwa jina la El sisi Mpaji Mohamed bin Zico El Hassain.😆😆😆
Kwa Leo naenda kwa jina la El sisi Mpaji Mohamed bin Zico El Hassain.😆😆😆
Yala yala , tusibiri mpira uishe wasije chomoa🤣Kwa Leo naenda kwa jina la El sisi Mpaji Mohamed bin Zico El Hassain.
Halirudi hiliGoli likirudi tu Misri hawana chao
Vibaraka wa Andunje leo hawataamini Farao sio kama Msenegali.Yala yala , tusibiri mpira uishe wasije chomoa🤣
Nilitaka watoke hao ile gemu walichocheza na Australia waliniudhi sana kudadek zaoHalirudi hili
Hawa waache usiwaguse kabisaBado dada zao Ufaransa baadae.
Sio urembo, nafasi tu hazifunguki na jamaa zetu waliosoma mpira shuleni huwa hawalipigi la kubahatisha Kibongobongo!Argentina wakifika goli la Misri wanaremba sana badala walazimishe goli wao wanaanza kuleta urembo urembo
Hahaha chuma hukooooMsinipopoe lkn,Egypt leo mpira anaocheza utafikiri Arsenal...
KabisaArgentina amekua kama Morocco ananvyobebwa AFCON ********, ila anapigwa hivyo hivyo
Aisee hamna VAR hapa?
Cha kushangaza bado dakika 30 mpira uishe , aibu utaona weweVibaraka wa Andunje leo hawataamini Farao sio kama Msenegali.