Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Ni kama dodoma jiji walivyompasua uto dakika za lala salamaMliwasema Senegal na Ghana! Haya sasa na hawa Waarab imekuwaje wanaachia dakika za lala salama!
Ni kama dodoma jiji walivyompasua uto dakika za lala salamaMliwasema Senegal na Ghana! Haya sasa na hawa Waarab imekuwaje wanaachia dakika za lala salama!
Kumbe na hawa waarabu ni wamatumbi tuu?Timu za Afrika na dakika 70-90 ni kamzozo..
Ndio walewale tu mkuu.Kumbe na hawa waarabu ni wamatumbi tuu?
Faraoh tunampa maji ya ziwa Victoria kupitia Nile lakini bado anatuaibisha.Engineer somaaaa...soma Engineeeer!
Alafu uto wakabeba kombeNi kama dodoma jiji walivyompasua uto dakika za lala salama
Messi ndio analeta utofautiYale yale ya Senegal 🤬🤬🤬
Walilomwibia simba point zao tatu kwa kukataa goal walilowafungaAlafu uto wakabeba kombe
Hahaha nikafiikirii wanauzungu kidogo kumbe nao wamelewa Mahindi ya njanoNdio walewale tu mkuu.
😅 Mashabiki wa CR7 walikuja kwenye uzi kama nyuki, na sasa wanarudi kama walowaaaHawa nilijua tu watapigwa leo hawafiki popote Argentina wangecheza hivi tangu kipindi cha kwanza Misri wangekua wana kapu la magoli sasa hivi
Hahahaaha imeiiiiiishaaaaa hioAisee ndio mambo gani haya