Kafa tayari hapa usingizi wangu leo utakua mzuri sana kudadekUna roho ya kikatili sana
Mmerudi waite na wenzioDuh hata VAR asee?
😅😅😅 Hapa ni kutembea kifua mbeleee tuuu... nikajipongeze na chochote kituGemu imeiiiiisha hio Misri warudi tu kwao
Naungana na wewe Leo Nyangwisi dah nimechukia vibaya leo
Kanywe dawa ya kupunguza maumivu
Naona mmekuja km nyuki
Hahaha. Wamenyimwa penati ndo malalamiko hayo.Waarabu wanaleta fujo uwanjani, kungekua na bomu hapa WANGEJILIPUA
Gemu imeisha kudadek Misri imetookaNaungana na wewe Leo Nyangwisi dah nimechukia vibaya leo
Movement ya goli la tatu Salah kachezewa fauli, hata kuangalia tu refa hatakiArgentina wanabebwa sana, wawape kombe sasa ijulikane tu
Hamna jinsi, kamba ya kujinyongea haizidi buku
Refa mbabe kinomanomaHahaha. Wamenyimwa penati ndo malalamiko hayo.
Mpira na akili wapi na wapi sheikh? Siwakubaligi tu hawa Waargentina.We jamaa nakuonaga una akili sana. Leo imekuwaje hadi ukashindwa kuelewa Messi ni alien?
Oya umerudi tena El Sisi nani Mpaji nani?Mpira na akili wapi na wapi sheikh? Siwakubaligi tu hawa Waargentina.