FT: Argentina 3-2 Egypt | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 7 Julai, 2026 | 1:00 Usiku | Egypt yaaga mashindano

FT: Argentina 3-2 Egypt | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 7 Julai, 2026 | 1:00 Usiku | Egypt yaaga mashindano

Screenshot_20260707-065147_Facebook.jpg
 
Kuna changamoto kubwa kwa timu za Afrika hususani kuanzia dakika 80. Nafikiri wengi wanawaza kushangilia kabla ya kipyenga cha mwisho.
 
Ka Messi kafupi, kazee, kabishi na kabaguzi.

Walipishinda kombe la dunia Qatar 2022 yeye na wenzake walikuwa wanaimba nyimbo za kibaguzi dhidi ya Ufaransa.
 
Wawape kombe wasisumbue watu kuangalia wala kufatilia .. wamekataa goli halali wakasema kuna faulo imechezeka! SALAH kaangushwa kwenye box goli limefungwa hajasumbuka kwenda kuangalia... nikiangalia mechi ya morocco na France basi hizi za argentina zinaboa mbeleko nyingi sana
Ile ya Mo Salah haikuwa penalty angalia marudio
 
Unapofunga Magoli ndio Kipindi unatakiwa kuwa makini Sana, Mimi nashindwa kuelewa kwanini timu zikitangulia kufunga huwa zinabadilisha mchezo wao kabisa na umakini unapungua...Class is permanent, Argentina Wana Class.
Argentina imefanya sub za kutosha kingebakia kikosi kile kile cha kwanza wasingetoboa hii mechi kocha kabadirisha mchezo mwishoni kabisa kwa kuingiza sub za maana
 
Unapofunga Magoli ndio Kipindi unatakiwa kuwa makini Sana, Mimi nashindwa kuelewa kwanini timu zikitangulia kufunga huwa zinabadilisha mchezo wao kabisa na umakini unapungua...Class is permanent, Argentina Wana Class.
Upo sahihi hii game ilikuwa moto sana Misri kazingua umakini 0. Mwanaume kabaki morocco ngoja tuone
 
Kombe la dunia sio pa kupaki basi, Afrika lazima wajifunze.

Unaongoza kwa goli 2-0 hadi dakika ya 78 halafu unapaki basi kwa timu kama Argentina, utafungwa tu maanake hamna namna.

Naona Argentina wanashangilia utafikiri wametwaa tena kombe..!!!
 
Back
Top Bottom