min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Tatizo la timu za africa zinapenda mteremko na kutafuta wa kumtupia lawama mara ooh tunabaguliwa,tunaonewa,
No plan B
Mpira ni mchezo wa wazi na una matokea matatu kufunga,kufungwa na sare....
.sasa Africa players wanaingia uwanjani na mentality za kijinga kwamba tutashinda tu na ikitokea wametangulia goli Moja au mbili wanarudi kupaki basi hapa ukikutana timu inayoshambulia vizuri lazima ufungwe Tu.
VAR huwa inatumika matukio ya upande mmoja tu , hasa Argentina inapocheza haya malalamiko yapo karibu dunia nzima , fuatia page mbalimbali na sio Africa tu