Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Uliona amedhamiria ?Hiyo hapo ni kuhararisha usalama wa mwingine , hainaga kona kona , kuizungumzia hiyo ona aibu
Usalama uwe physical au saikolojikali kadi ni kadi ona aibu mzee
Uliona amedhamiria ?Hiyo hapo ni kuhararisha usalama wa mwingine , hainaga kona kona , kuizungumzia hiyo ona aibu
VisunguraAfrica ile hydration break ya kipindi cha pili labda wanachanganyiwa na konyagi
Hiyo kwenye mpira haipo , kinachoangaliwa ni mpira na mguu na sio dhamira labda wagundue VAR ya kuangalia dhamira ya mtuUliona amedhamiria ?
Usalama uwe physical au saikolojikali kadi ni kadi ona aibu mzee
Cape verde walishika Mara mbili dhidi ya hw hw matapel argentina lakn hazikua penati pale wameangalia nini ?Hiyo kwenye mpira haipo , kinachoangaliwa ni mpira na mguu na sio dhamira labda wagundue VAR ya kuangalia dhamira ya mtu
Wazee wa kutafuta sababuYake maji wanapewa timu za Africa kunywa kipindi cha pili yachunguzwe...haiwezekani!
HahahahhahahahahahahhaSibetii mitimu ya afrika tena
Morocco sio waafricaMorocco nae OUT
Hahahahaha oya nimecheka sanaYake maji wanapewa timu za Africa kunywa kipindi cha pili yachunguzwe...haiwezekani!
Katika mpira wa miguu, straight red card (kadi nyekundu ya moja kwa moja).Cape verde walishika Mara mbili dhidi ya hw hw matapel argentina lakn hazikua penati pale wameangalia nini ?
Mn profesheno fouls n ujanja unaotumik kukwapua advantage ya m2
Bora hao ambao wanafanya ubaguzi wakiwa kwao, kuliko hawa Wazungu mnaowashabikia walioitawala na kuikandamiza Afrika. Argentina walitutawala wapi?Unashabikia mabaguzi hawapendi waafrika?
argentina ilifuta kizazi chote cha weusi na ilikuwa ndio nchi yenye weusi wengi amerika ya kusiniBora hao ambao wanafanya ubaguzi wakiwa kwao, kuliko hawa Wazungu mnaowashabikia walioitawala na kuikandamiza Afrika. Argentina walitawala wapi?
Hahahaa ila nyangwisi una matatizo sanaLeo hata ukivuta Mabange na kusapoti 😆
Morocco ana mifupa mgumu ila hatumkatii tamaa
Acha tu ipite...utaambiwa unatafuta sababu / huruma Kwa sababu Argentina ni timu pendwa.kwanini refa alikataa kuangalia var ya goli la tatu move yake? misri wakate rufaa
Hata Goli la kwanza la Argentina lilihitaji kuangaliwa kwenye VARkwanini refa alikataa kuangalia var ya goli la tatu move yake? misri wakate rufaa
Hali yenu mbaya sana kwakweli.