Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Argentina wazee wa mbeleko kutoka kwa marefa
Historia ilikupita kushoto mkuu, kifupi waliokutawala hao hao walihamia Argentina, Asilimia 80 ya Wa Argentina ni wazungu na Asilimia 17 ndio local wahindi wa America. Hata Nazi walivyopigwa Ujerumani wengi walikimbilia huko.Bora hao ambao wanafanya ubaguzi wakiwa kwao, kuliko hawa Wazungu mnaowashabikia walioitawala na kuikandamiza Afrika. Argentina walitutawala wapi?
Pili, hao Wachezaji weusi unaowaona kwenye mataifa ya Ulaya na America hawapendi kunasibishwa na Afrika. Na wanatuona sisi tulioko Afrika tunajipendekeza kwao. Siwapendi kabisa hao kenge.
Senegal na mgogoro pia ulichangia.Hata kurudi Senegal walikosa pesa.Kilichowakuta Senegal kimewakuta misiri
FranceNamuona Argentina akibeba tena, angalia njia aliyopita.
Mi natamani watolewe na MoroccoYani nawaombea sana France sijui kwanini?
😂😂😂Mafarao wakikuchapa kimoja cha nguruwe, wakiamua kushikilia bomba kuchomoa sio rahisi
🤣 tumeona wote
Hakuna goli pale tuache malalamiko.Dhulma ya wazi kwa Misri! Goli baada ya faulo ni aibu! Wamegima hata kuangalia VAR!
IssTimu za Afrika na dakika 70-90 ni kamzozo..
Kwa leo issue siyo timu ya AfrikaHili suala la timu za Afrika kupigwa dakika za mwisho ni tatizo sugu.
Mafarao wakikuchapa kimoja cha nguruwe, wakiamua kushikilia bomba kuchomoa sio rahisi
kiko wapi broMafarao wakikuchapa kimoja cha nguruwe, wakiamua kushikilia bomba kuchomoa sio rahisi
Issue siyo timu za AfrikaKuna changamoto kubwa kwa timu za Afrika hususani kuanzia dakika 80. Nafikiri wengi wanawaza kushangilia kabla ya kipyenga cha mwisho.
Salah alishapoteza umiliki wa mpira na ht uelekeo kabla haijatokea contact yaan alishaporwa mpirakwanini refa alikataa kuangalia var ya goli la tatu move yake? misri wakate rufaa
Sio rahisi lakini inawezekanakiko wapi bro
Sasa hata ukiwachukia wao wanapungukiwa na nini?vitu vingine vya kijingaRefa kaibeba Argentina. Mabaguzi Argentina siwapendi.
I HATE ARGENTINA I HATE MESSI
Wote tumeangalia mpira haikuwa clear hivyo kusema salah alipoteza mpira kabla ya contact.Salah alishapoteza umiliki wa mpira na ht uelekeo kabla haijatokea contact yaan alishaporwa mpira
Kasababisha nimepigwa salio leo
Wasingefungwa bao mbili kama ni mbelekoArgentina wazee wa mbeleko kutoka kwa marefa
Weka clip hapa kama aliguswa kabla ya mpira kuondoshwa mguuni kwake.Wote tumeangalia mpira haikuwa clear hivyo kusema salah alipoteza mpira kabla ya contact.