FT: Argentina 3-2 Egypt | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 7 Julai, 2026 | 1:00 Usiku | Egypt yaaga mashindano

Kombe la dunia sio pa kupaki basi, Afrika lazima wajifunze.

Unaongoza kwa goli 2-0 hadi dakika ya 78 halafu unapaki basi kwa timu kama Argentina, utafungwa tu maanake hamna namna.

Naona Argentina wanashangilia utafikiri wametwaa tena kombe..!!!
Na walikua na uwezo wa kuifungua safu ya ulinzi kwa kwakumtumia zico , hassan na salah , sabu za malengo ya kupaki basi zimewa cost
 
Kombe la dunia sio pa kupaki basi, Afrika lazima wajifunze.

Unaongoza kwa goli 2-0 hadi dakika ya 78 halafu unapaki basi kwa timu kama Argentina, utafungwa tu maanake hamna namna.

Naona Argentina wanashangilia utafikiri wametwaa tena kombe..!!!
 
Tatizo la timu za africa zinapenda mteremko na kutafuta wa kumtupia lawama mara ooh tunabaguliwa,tunaonewa,

No plan B

Mpira ni mchezo wa wazi na una matokea matatu kufunga,kufungwa na sare....

.sasa Africa players wanaingia uwanjani na mentality za kijinga kwamba tutashinda tu na ikitokea wametangulia goli Moja au mbili wanarudi kupaki basi hapa ukikutana timu inayoshambulia vizuri lazima ufungwe Tu.
 
Kombe la dunia sio pa kupaki basi, Afrika lazima wajifunze.

Unaongoza kwa goli 2-0 hadi dakika ya 78 halafu unapaki basi kwa timu kama Argentina, utafungwa tu maanake hamna namna.

Naona Argentina wanashangilia utafikiri wametwaa tena kombe..!!!
Oya nimeshangilia bao la pili lilivyoingia km nimefunga mimi
 
Back
Top Bottom