Fantasy Yako
JF-Expert Member
- Jun 29, 2026
- 383
- 983
Imeishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥Gooooooooal
Imeishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥Gooooooooal
Misri labda atoboe mkateHii gemu inaenda 120 na Misri hatoboi
Hahahahaha nilitaka watooooke hawa gemu ile ya Australia waliniudhi sana hawa Misri waliremba sana ile mechi😅 Mashabiki wa CR7 walikuja kwenye uzi kama nyuki, na sasa wanarudi kama walowaaa
Hahahahaha hakuna alichotoboa labda autoboe ule mpira usiwe na upepoMisri labda atoboe mkate
Wanakula sana boflo hawa waarabu😅Hahaha nikafiikirii wanauzungu kidogo kumbe nao wamelewa Mahindi ya njano
Rangi tuu ndo wamepishanaNdio walewale tu mkuu.
Una roho ya kikatili sanaDakika 7 za nyongeza Misri nasubiria afe nikalale
Gemu imeiiiiisha hio Misri warudi tu kwaoImeishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥
We jamaa nakuonaga una akili sana. Leo imekuwaje hadi ukashindwa kuelewa Messi ni alien?Faraoh tunampa maji ya ziwa Victoria kupitia Nile lakini bado anatuaibisha.