mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Matoifa yote ya Amerika ya kusini inabidi yatolewe yote ili robo fainali iwe ya Afrika na Ulaya tu!
Goli lingine kudadekMatoifa yote ya Amerika ya kusini inabidi yatolewe yote ili robo fainali iwe ya Afrika na Ulaya tu!
Furahia tena kunywa ulanzi tena zimebaki dakika 6 nasubiri goli la 3 hapa nikavute shukaLeo nakunywa ulanzi,sio kwa furaha hii waarabu tunayo ipata
😅😅😅 mafarao watupa matumaini hewaaa...Aisee naona Mafarao tunaenda kubondwa la tatu kabisa
Jamaa wamekimbia uzi dadekAisee naona Mafarao tunaenda kubondwa la tatu kabisa
Engineer somaaaa...soma Engineeeer!Vibaraka wa Andunje leo hawataamini Farao sio kama Msenegali.
Mkuu Africa sio wa kuwawekea dhamana, Nini hiki Tena😭Kiuatani utani tu Jitu linaweza kuvuliwa ubingwa.
Hapo tuko pamoja. Vikings 🔥Nipo Norway 🇳🇴 kijana ruuuuuu
Ni shughuli pevuTimu za Afrika na dakika 70-90 ni kamzozo..
Hawa nilijua tu watapigwa leo hawafiki popote Argentina wangecheza hivi tangu kipindi cha kwanza Misri wangekua wana kapu la magoli sasa hivi😅😅😅 mafarao watupa matamaini hewaaa...
Oya mimi nipo pale pale nilitaka leo Misri wapigwe ile gemu ya Australia waliniudhi sanaTimu za Afrika ikifika dakika ya 70 wanachoka. Ukichoka una lose concentration unafungwa kirahisi. Haya magoli yote mawili ingekuwa first half angeokoa ila kachoka na yeye