Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tp mazembePoint of correction. Simba ni mwakilishi pekee Africa Mashariki na Kati,mpaka Congo.
Jentrix Shikangwa yupo wapi?
| 19:00 | ASFAR - Morocco | N : N | Simba Queens - Tanzania |
[emoji115]wamama hawa wanacheza na watoto wao Simba Quens.30 October 2022
CAF WOMEN'S CHAMPIONS LEAGUE
19:00 ASFAR - Morocco N : N Simba Queens - Tanzania
Timu ya jeshi la Morocco ASFR inayokabiliana na Simba Queens leo katika michuano ya CAF Klabu Bingwa ya Afrika upande wa soka la wanawake
View attachment 2402234
Azam Tv wametangaza watauonyesha kupitia ZBC2.Duuuu kwa hiyo sisi wa Azam TV ndo imekula kwetu. Basi wa DSTV mtakuwa mnatuhabarisha
Timu yenu ya kiume haipo kwenye level hizi achilia mbali hiko kikundi cha akina dadaMademu wa simba wanajua kukatika tu leo wanafungwa
Kwani Sebastian Mkomwa alitupiwa virago?Head Coach wa Simba Queens, Charles Lukula Ayiekoh akijibu maswali kuelekea mechi ya leo
Source : Simba SC Tanzania
Watafanya kama walivyofanya kaka zao InshallahLeo saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki Simba Queens watashuka dimbani kumenyana na AS Far Club ya Morocco.
Ikumbukwe kuwa Simba Queens ndio wawakilishi wa ukanda huu wa Afrika Mashariki. Hivyo hawawakilishi nchi pekee bali ukanda wote huu.
Tutaleta live updates hapa kuanzia saa 4:00 usiku na mchezo utakuwa live kupitia DStv chaneli ya Variety 4.
Hawa jePoint of correction. Simba ni mwakilishi pekee Africa Mashariki na Kati,mpaka Congo.
Jentrix Shikangwa yupo wapi?