Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Vivian Corazone wa Simba Queens amekula njano baada ya kucheza faulo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri ni uoga wa mashindanoAlafu leo wachezaj wa queens wanakosa pressing za maana, yaani wamekosa utulivu 100%
Sikuconcentrate master, ngoja nim'zoom[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Refarii ni mdada wa Kisouth ana shape[emoji23]
😂😂Sikuconcentrate master, ngoja nim'zoom[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Yeah 100% ni Kama wanangekewa hivi, wakichomoka hii, game zijazo they need a psychotherapists kabisaNafikiri ni uoga wa mashindano
Wanaishia kumpa kipa33' Simba Queens wanapata faulo nje ya 18 ya wapinzani wao
Hapa mwanzo mwishoMkuu Greatest Of All Time naona tuko wawili tu kwenye huu Uzi lakini tunakimbiza!! Let's Go man!!! Simbaqueens 4CAF club women tittle/#SEMI FINAL!!
Huyo Mkomwa mi naona ndio alikuwa Coach mzuri ila huyu wa sasa Simba queens imekuwa mbovu kidogo.Kwani Sebastian Mkomwa alitupiwa virago?
Nadhani hakuwa na sifa za michuano ya CAFHuyo Mkomwa mi naona ndio alikuwa Coach mzuri ila huyu wa sasa Simba queens imekuwa mbovu kidogo.