Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Hawa wachezaji warembo vijana mshaanza kuwaharibu ndo tatizo😀😀Joelle Bukuru leo kiwango chake hakijashawishi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wachezaji warembo vijana mshaanza kuwaharibu ndo tatizo😀😀Joelle Bukuru leo kiwango chake hakijashawishi sana
Hahaha kwann?Hawa wachezaji warembo vijana mshaanza kuwaharibu ndo tatizo😀😀
Nilisema hapo juu refa ana matokeo yake tayari. Clear faulo ile refa kajifanya haoni.61' Mwamuzi anapeta baada ya Asha Djaffar kuwekwa chini
Huyu refa msouth mbona Kama anaiminya sna Simba!!!?
Umekosea hapo hakuna Kwa mkapa. Ni group stage inayochezwa pale Rabat moroco
Aisee kwa hiyo hakutakuwa na mechi nyingine ya marudiano baada ya hapo?Michuano inapigwa hukohuko Morocco
Rejea post yangu namba 63. Refa ana matokeo mfukoni huyo. Japo hawa wadada wetu nao mizinguo. Wanaopata clear chance wanambwelambwela. Chance hizi wakipata wamorocco watafunga.Huyu refa msouth mbona Kama anaiminya sna Simba!!!?
Si CAF huko hua hakuna kubebana imekuaje tena vilioRejea post yangu namba 63. Refa ana matokeo mfukoni huyo. Japo hawa wadada wetu nao mizinguo. Wanaopata clear chance wanambwelambwela. Chance hizi wakipata wamorocco watafunga.