FT: AS Far Club 1-0 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Stade Prince Moulay Al Hassan

FT: AS Far Club 1-0 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Stade Prince Moulay Al Hassan

Hiyo game Simba queens itafungwa kwa sababu kuu kama 5 hivi.
1. Soccer maturity: Hawa wamorocco wako matured Sana kuliko Simba queens.
2. Refa ana matokeo tayari
3. Hawakupewa game plan nzuri na coach wao na ni kama hawakupata muda wa kutosha kuwaangalia timu pinzani Na hivyo kuwa na mkakati wa game. Na hili ni kama tatizo sugu kwa timu za Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa.
4. Physic ya wamorocco ukilinganisha na Simba queens. Waelekezwe nyuma wasicheze pasi fupi maana uwezo wa hawa wadada kufanya intercepts ni mkubwa hivyo kuleta madhara.
5. Ni kama wabongo mmeanza kuwatembelea na kiwavalisha sana pete za uchumba hawa dada zetu. Maana wamekuwa Waziri.

Sababu nyingine ndogondogo ni uchoyo wa kutaka kutafuta sifa binafsi. Yangu ni hayo tu.
 
Huyu kipa wa queens aache mchecheto hapo nyuma naona ana'kitete sanaaa!! Atatucost team
 
Back
Top Bottom