FT: AS Far Club 1-0 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Stade Prince Moulay Al Hassan

FT: AS Far Club 1-0 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Stade Prince Moulay Al Hassan

Alikuwa na matokeo yake
Uwaga mabantu yanajipendekezaga kwa waarabu, afu Simba queen kocha haina, hakuna tactics, wala mipango ya mwalimu unaweza kuiona ndani ya match husika, Zaid uwezo binafsi wa WACHEZAJI!! Ndomana chance nyingi created by queens ni personal efforts sio team strategical plans! Na ndomana positioning kwenye umaliziaji imekuwa ndoto, yaan WACHEZAJI wanashtuka mpira upo miguuni mbele ya goli kwa kitete wanafanya madudu! Move nyingi za magoli zimekufa kwasababu hawakuw na mipango clear! Zaidi Rabatt walichoi'win Simba ni physic tu! Kwengine Simba deserved winning the game for more than 3goals!!
 
Back
Top Bottom