Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisaaKwenye Utaifa nashangiliaga timu yoyote kikubwa iwakilishe Taifa.
Pambaneni acheni kujiliza huko hakuna GSMUnajifanya hauna macho kisa utopolo sio!?? Kwani vile vijeba vyenu vinavyovaa sketi viko wapi...!??
Pambaneni acheni kujiliza huko hakuna GSM
NakaziaUmakini wa kufunga umeigharimu timu. Simba queens ilipata nafasi nyingi za kufunga kuliko Asfar
Ili wasikae yapasa uwatangulie. Wadada wamejitahidi lakn naona juhudi binafsi tu sioni nafasi ya kocha kabisa. Thou na wachezaji wana la kujilaumu.Waarabu kila dakika wanakaa chini😂😂
pamoja na mpira kusimama mara kwa mara,muda wa nyongeza nao kauminya sanaHuyu refa kei yake
Alikuwa na matokeo yakepamoja na mpira kusimama mara kwa mara,muda wa nyongeza nao kauminya sana
Hakuna figisu huko ni CAF marefa wamenyookaKuna figisu huku[emoji1787][emoji1787]