Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ni Jumapili tulivu, wapenda kandanda tunakutana tena hapa jukwaani kushuhudia mechi za Kombe la Shirikisho Afrika.
Leo katika Kundi D, AS Real Bamako ya Mali inawakaribisha wawakilishi wa Tanzania, Young Africans SC.
Ikumbukwe AS Real Bamako, bado inatafuta ushindi wake wa kwanza, mara baada ya kufungwa mchezo wa kwanza na kudroo mchezo wa pili huku ikiwa na alama 1.
Kwa upande wa Young Africans, watashuka dimbani wakiwa na alama 3 baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kisha kushinda mchezo wa pili dhidi ya TP Mazembe wiki moja iliyopita.
Kama mjuavyo kwa mpira wa Afrika, timu iliyopo nyumbani ina nafasi kubwa ya kupata ushindi, je AS Real Bamako wataweza kupata ushindi wao kwanza? Au Yanga wataendeleza ushindi?
Mechi itapigwa Saa 1:00 Usiku kwa Saa za Afrika ya Mashariki, na kuwa mubashara kupitia, ZBC2 ya AzamTV na Variety 3 chaneli 228 ya DStv.
Live updates, utani wa hapa na pale, tambo na majigambo yote basi tukutane kwenye uzi huu...
Mchezo umeanza
1' Bamako wanafika langoni mwa Yanga lakini shambulizi halina nguvu
8' Mchezo hauna kasi
15' Timu zote hazina kasi
17' Moloko anachezewa faulo
28' Shambulizi kwa Yanga lakini walinzi wanakuwa makini
30' Yanga wanafanya Shambulizi Kali baada ya walinzi wa Bamako kujichanganya
39' Aucho ameshindwa kuendelea na mchezo, anatoka nafasi yake inachukuliwa na Azizi Ki
45' Zinaongezwa dakika 2
Mapumziko
Kipindi cha pili kinaanza
50' Bado mambo ni magumu kwa timu zote
56 Musonda anatoka, anaingia Kisinda
58' Mayele anakosoa nafasi ya wazi, shuti lake linakosa nguvu
Gooooooooooo
60' Mayele anafunga goli kwa shuti kali
90' GOOOOOOOOOOOOOO
Wenyeji wanasawazisha baada ya mpira wa kona kuwapita walinzi wa Yanga