FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Toa na matokeo walivyocheza na Monastir walitokaje? Kama mpira ndio upo na hesabu ya namna hiyo
Tp Mazembe ni mbovu wala tusitafute maneno ya ku-minimize kuwafanya waonekane bora
 
Kuna mtu alianzisha uzi kuhusu swala la Aziz Ki kupoteza mpira

Niw nimeanza kumuelewa
 
Back
Top Bottom