FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Mchambuzi anamuuliza mchambuzi mwenzake eti "kwanini hakuna goli"

Wakati ye mwenyewe kaangalia mpira na jinsi Mayele anavyo dimba dimba kule mbele
kipindi cha 2 utakataa haya maneno yako
 
Kweli kabisa, na Onyango tatizo lake ni utoto ndiyomaana akipigwa chenga anaamua kukumbatia mchezaji hadi anaruhusu penati [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa anachezea U20 na amezaliwa 2004
jemedarisaid-20230225-0002.jpg


Kwa hapa ina maana Aucho aongezeke kidogo

Nyinyi mnawachezaji wa namna hii, sura na mwili vinakataa ila maandishi ya vyeti ndio yanakuja kuwaacha watu midomo wazi
 
Kipindi cha pili inshallah Tanga itapata goli, wanafungika tu hawa, tunahitaji utulivu.
 
Monastir ni mbovu? Mbona wamecheza na hao hao Bamako na wameshindwa kuifunga, tena Monastir ndiye aliyechomoa goli.
Hao Tp Mazembe si ndio iliyocheza nusu fainali msimu ulioisha?
Ukweli ambao scars hataki kuusikia pamoja na makolo wenzie. Saivi wanakimbilia kichaka za timu mbovu
 
Wawakilishi wa Tanzania wako uwanjani muda huu wale waliokuwa uganda jana wanawakilisha umoja wa misheni town pale kariakoo
Wale Wa Jana Walikuwa Wenye Nchi ndo Maana walitanguliza Maslahi Ya Nchi mbele ..!

Hukuiona Ile ' Visit Tanzania' Kifuani...?
 
Back
Top Bottom