FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Mna haki ya kujipongeza kama mnafikri ni kebehi subirini marudiano Taifa, hongereni na mkumbuke TP kajeruhiwa na Mwarabu, mkienda kwake afe beki afe kipa mtapigwa.

Mwarabu yule Taifa hamna ujanja naye, changeni karata zenu vizuri mapema.
 
Kuna point yetu moja nyingine tutaifuata Congo. Then hawa bamako wanatulwtea tatu zetu hapa kwa Ng'kapa. Then tunamchinja mwarabu mbele ya hadhira ya watanzania, robo fainali hii hapa!

Siwadai kitu wachezaji wetu. Point moja ugenini inatosha kabisa!
 
Back
Top Bottom