FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Hii sare sijaipenda hata kidogo, ile timu sio ya kutoka nayo Droo, Yanga tulipaswa kushinda.

"TUTAIKUMBUKA MECHI YA BAMAKO"
Mark hayo maneno yangu.
 
Hii sare sijaipenda hata kidogo, ile timu sio ya kutoka nayo Droo, Yanga tulipaswa kushinda.

"TUTAIKUMBUKA MECHI YA BAMAKO"
Mark hayo maneno yangu.
Tp Mazembe mnaenda kuchukua pointi zenu kule kule
 
Attachments

  • Tablee.jpg
    Tablee.jpg
    19.3 KB · Views: 1
Hii sare sijaipenda hata kidogo, ile timu sio ya kutoka nayo Droo, Yanga tulipaswa kushinda.

"TUTAIKUMBUKA MECHI YA BAMAKO"
Mark hayo maneno yangu.
Tp Mazembe mtampiga huko Lubumbashi na huyu Bamako atapigwa Dar, hivyo bado nafasi mnayo ya kufuzu.
 
Niwakumbushe tu Yanga ana point 4 na anashika nafasi ya pili kwenye kundi bila kusahau ana faida ya michezo miwili ya nyumbani.
 
Tp Mazembe mnaenda kuchukua pointi zenu kule kule
Lazima watajirekebisha, ikitokea wamefungwa na MONASTIR game ijayo kidogo utaleta unafuu kwetu, lkn mentality ya kutafuta sare imetuangusha, game ilikuw Nyepesi kabisa.
 
Back
Top Bottom