[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwagee unaniita nikuchachuee wee evee, khaaaaaahRefa maliza mpira turudi nyumbani wengine tunakaa mbali [emoji16]
Kuna shabiki kindaki ndaki shabiki wa Bamako sijamuona hapa Kalpana hata kama unafatilia mpira usiuchune hivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi robooo ni lazimaaaa, na Raja anataka kwenda na sisi.Tunakukumbusha tu kama Horoya akimpiga Raja shughuli hauna na Horoya uwezo huo kwa jinsi jana nilivyo tizama mechi anao.
Farid mussa, hii team au kikundi cha riadhaMikimbio FC, Huku Tuisila kule Moloko, Katikati Musonda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi, ulikuwa unaucheki huu mpira kwenye Big Screen ya Harrier pale Jangwani?
We ndio utakuwa umeona vizuri namna kile kichwa kimepigwa kuliko sisi wa small screen huku banda umiza
Hapa kuna mabishano wengine wakimlaumu Diarra kuwa kafanya uzembe, hebu tusimulie ni kweli kipa anastahili lawama kwa ile hearder?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ya kichwaa sasa, anabonyezwa tyuuh chwiiiiiii kituu ndaniiiiiiiii.MDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA TU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na utatesekaaaaa sanaaaaaaaa!!!! Sisi robooo ni lazimaaaaa.Horoya akimpiga Raja,waganga wenu wakatafute shughuli ya kufanya.
Huwa nadhani una akili kumbe kichwani ni bure kabisa, TP Mazembe ilishanda nyumbani hizo goli 3.Ilifungwa na Tp Mazembe bao 3-1 ambayo ni kibonde
Achana nao hao .Huwa nadhani una akili kumbe kichwani ni bure kabisa, TP Mazembe ilishanda nyumbani hizo goli 3.
Mpaka Sasa timu ambayo imeaibishwa nyumbani Kwa kipigo cha aibu Kwa kupigwa goli tatu bila ni Simba peke yake.
Watafuta sare unawajua usinichoshe mie 😁💚💛✌️Naonaa umepata kijora cha chui chui, evee uwage unauliza kwanzaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi nikusindikize shughurini ukasasambue??
Daa, halafu kiwanja kizuri tu.Mali hakunaga mpira kaka,huko kuna wachezaji wazuri tu ila watu hawapendi soka kama huku
Wewe kumbe upo siku hizi sikuoni kwenye jukwaa ya michezo au ulikuwa Ethiopia unafuailia jezi zenu za Vunjabei.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi robooo ni lazimaaaa, na Raja anataka kwenda na sisi.
Poleeeeeni vyuraaaaaaa, Mazembe anawasubiri kwao, na monastit atakuja kuwakanda kwa lupaso, mtatoa sare na Bamako mnatokaaaa njeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi utopoloooooo
Jana Tp Mazembe alifungwa 2-0 na Monastir akiwa nyumbaniHuwa nadhani una akili kumbe kichwani ni bure kabisa, TP Mazembe ilishanda nyumbani hizo goli 3.
Mpaka Sasa timu ambayo imeaibishwa nyumbani Kwa kipigo cha aibu Kwa kupigwa goli tatu bila ni Simba peke yake.
Mazembe hakuna kitu ni bora Ihefu...Jana Tp Mazembe alifungwa 2-0 na Monastir akiwa nyumbani
Hata performance ilikuwa poor, hao Monastir hawakuwa na performance ya kutisha kiasi useme walicheza na timu iliyokuwa kubwa kuwazidi
Tp Mazembe ni wabovu na huyu mi ndio namuona kibonde wa group, mkienda Congo mnaweza kuchukua pointi 3.
Horoya aliwagonga goli gani?
Mmempa nini Raja anataka kwenda na nyie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi robooo ni lazimaaaa, na Raja anataka kwenda na sisi.
Poleeeeeni vyuraaaaaaa, Mazembe anawasubiri kwao, na monastit atakuja kuwakanda kwa lupaso, mtatoa sare na Bamako mnatokaaaa njeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi utopoloooooo
Umempatia Evelyn Salt leo hahahahhahNaonaa umepata kijora cha chui chui, evee uwage unauliza kwanzaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi nikusindikize shughurini ukasasambue??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan alivyo shaukwa wakati wanaongoza, aulizage kwan apewe muongozo. UwiiiiiiiihUmempatia Evelyn Salt leo hahahahhah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi ni mabest na Raja.Mmempa nini Raja anataka kwenda na nyie?