FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Tunakukumbusha tu kama Horoya akimpiga Raja shughuli hauna na Horoya uwezo huo kwa jinsi jana nilivyo tizama mechi anao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi robooo ni lazimaaaa, na Raja anataka kwenda na sisi.

Poleeeeeni vyuraaaaaaa, Mazembe anawasubiri kwao, na monastit atakuja kuwakanda kwa lupaso, mtatoa sare na Bamako mnatokaaaa njeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi utopoloooooo
 
Vipi, ulikuwa unaucheki huu mpira kwenye Big Screen ya Harrier pale Jangwani?

We ndio utakuwa umeona vizuri namna kile kichwa kimepigwa kuliko sisi wa small screen huku banda umiza

Hapa kuna mabishano wengine wakimlaumu Diarra kuwa kafanya uzembe, hebu tusimulie ni kweli kipa anastahili lawama kwa ile hearder?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA TU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ya kichwaa sasa, anabonyezwa tyuuh chwiiiiiii kituu ndaniiiiiiiii.

Woiiiiiiih
 
Ilifungwa na Tp Mazembe bao 3-1 ambayo ni kibonde
Huwa nadhani una akili kumbe kichwani ni bure kabisa, TP Mazembe ilishanda nyumbani hizo goli 3.

Mpaka Sasa timu ambayo imeaibishwa nyumbani Kwa kipigo cha aibu Kwa kupigwa goli tatu bila ni Simba peke yake.
 
Achana nao hao .
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naonaa umepata kijora cha chui chui, evee uwage unauliza kwanzaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi nikusindikize shughurini ukasasambue??
Watafuta sare unawajua usinichoshe mie 😁💚💛✌️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi robooo ni lazimaaaa, na Raja anataka kwenda na sisi.

Poleeeeeni vyuraaaaaaa, Mazembe anawasubiri kwao, na monastit atakuja kuwakanda kwa lupaso, mtatoa sare na Bamako mnatokaaaa njeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi utopoloooooo
Wewe kumbe upo siku hizi sikuoni kwenye jukwaa ya michezo au ulikuwa Ethiopia unafuailia jezi zenu za Vunjabei.

Wewe kama hutofuzu ni wewe ila kwetu kufuzu ni lazima nipo vizuri kazi kwenu na babu yenu Onyango mwenye miaka 29,halafu unategemea mfuzu.
 
Huwa nadhani una akili kumbe kichwani ni bure kabisa, TP Mazembe ilishanda nyumbani hizo goli 3.

Mpaka Sasa timu ambayo imeaibishwa nyumbani Kwa kipigo cha aibu Kwa kupigwa goli tatu bila ni Simba peke yake.
Jana Tp Mazembe alifungwa 2-0 na Monastir akiwa nyumbani

Hata performance ilikuwa poor, hao Monastir hawakuwa na performance ya kutisha kiasi useme walicheza na timu iliyokuwa kubwa kuwazidi

Tp Mazembe ni wabovu na huyu mi ndio namuona kibonde wa group, mkienda Congo mnaweza kuchukua pointi 3.
 
Mazembe hakuna kitu ni bora Ihefu...
Kuwashinda hao sio ishu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi robooo ni lazimaaaa, na Raja anataka kwenda na sisi.

Poleeeeeni vyuraaaaaaa, Mazembe anawasubiri kwao, na monastit atakuja kuwakanda kwa lupaso, mtatoa sare na Bamako mnatokaaaa njeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi utopoloooooo
Mmempa nini Raja anataka kwenda na nyie?
 
Back
Top Bottom