FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

Dakika ya 4 sasa mpira unaendelea
 
Kotoko wanapata kona hapa dakika ya 7
 
Simba eneo la mbele halichezi, mipira mingi inapotea
 
Kuna sintofahamu imetokea hapa uwanjani ambapo kuna matukio ya kinidhamu yametendeka

Kuna mchezaji wa Asante kotoko alianguka chini, Chama akawa anaenda kumpa mkono amnyanyue kama fair play lakini yule mchezaji akaukataa mkono wa chama

Chama alipoona kakataa akamkanyaga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…