FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

Akpan, Quttara, Okwa, phiri na Mzungu binafsi bado wananitia wasiwasi!
 
Akpan, Quttara, Okwa, phiri na Mzungu binafsi bado wananitia wasiwasi!
Okwa na phiri watoe kwenye hiyo list

Mxungu bado anakitu mguuni sema kuna uchoyo wa pasi, wakati yeye katoa assist za watu wafunge lakini wamekuja kumbwera
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli
"One Mugalu is equal to ten Mzungu"

Yule mzungu hamna kitu. Mbona Simba queens Wana washambuliaji hatari Kama asha djafari na opa Clement Wana kazi dakika 90 zote. Ila kwetu huku washambuliaji hatuna.
 
Yaani hata makosa ya kujirudia rudia yanayo igarimu tm appreciate tu.Mpira hauchezewi chumbani
Jifunze kuappreciate wafanyacho wenzako ndugu. Si kulaumu kila kitu. Unataka wasifungwe kabisa? Sasa huo utakuwa ni mpira?
 
Simba bado ina shida kubwa ya Mabeki.
Mabeki hawana kasi ya kukaba.
Qattara ni mzito na anaridhika haraka akipitwa na mshambuliaji mwenye kasi.

Kuna haja ya kuwatumia mabeki wote watatu Onyango, Inonga na Qattara pamoja.
 
Hivi unawezaje kumuweka benchi Onyango na kuanza na Outtara

Hv unajua soka jamaa yangu???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamfananisha onyango na momo dah????haya bhn acha tuendelee tu kujifariji ila wabongo dah
 
[emoji881][emoji881][emoji881]

Unstoppable!!!
This is SIMBA
giphy.gif
 
Back
Top Bottom