FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

Dakika ya 80 ya mchezo

Mayokeo ni Kotoko 2-4 Simba
 
Kotoko wakikaza wanaweza kurudisha goli zote,kiungo wa Simba wameshapwaya tayari.
 
Asante kotoko wanafanya shambulizi la hatari lakini shuti linaenda nje ya lango na kuwa goal kick
 
Dakika ya 88 Simba inafanya mabadiliko eneo la golikipa, anatoka Ally anaingia Ahmedy Peruzi
 
Back
Top Bottom