FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

Kotoko wanapiga kona lakini golikipa namba 4 Peruzi anakaa vizuri
 
Oooh huyu Dejan leo ana nini?
 
Sekunde zikiwa zimebaki 30, ooh zimepungua tena zimekabi 20

Bado Kotoko wanaendelea kusaka hapa magoli mawili ya kusawazisha ili kujiweka vizuri kwenye msimamo
 
Finishing yao mbovu wangekua na goli 3 au 4
Kuna makosa ya kizembe ambayo simba imeyafanya kupitia dharau na ku underestimate mechi kwasababu haina pressure

Ila ingekuwa ni mechi muhimu sidhani kama wangefanya uzembe wa namna ile ingawa hata kwenye mechi muhimu bado kumekuwa na mizaha ya hapa na pale ila hii ya leo ni extreme
 
Back
Top Bottom