Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kinacho nishangaza ni formation aliyoipanga kochaILe mizee ya Yanga michawi sana, Mchezaji akihama ppale inafanya uswahili mwingi sana ili affeli mbele ya safari. Mayele atajuta kucheza Yanga. Akina Sibomana, Yikpe, Sarpong nk nk huko waliko ni magarasa vifungo vimebaki Utopoloni pale.
Kamchezesha Mayele kama attacking midfielder yani yupo nyuma ya strikers kina Peter Shalulile