FT: ASEC Mimosas 3-0 Galaxy | CAF CL | 19.12.2023

FT: ASEC Mimosas 3-0 Galaxy | CAF CL | 19.12.2023

Haya matokeo ni mazuri kwa Simba ila sare ingekuwa bora zaidi ili ASEC aende kucheza na Wydad akiwa bado anatafuta kufuzu.

Angefuzu kwa kumfunga Wydad Morocco mechi ya mwisho ingekuwa ya kukamilisha ratiba.
 
Back
Top Bottom