Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hizi game za afrika kila mtu anacheza ndani na nje ya uwanja akiwa kwao..Alichofanya zimbwe sijapenda
Hata kama Benin sio Cote de Ivore lkn Asec wapo home
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi game za afrika kila mtu anacheza ndani na nje ya uwanja akiwa kwao..Alichofanya zimbwe sijapenda
ZBC 2Kwa Azam ni namba ngapi
Tutarudisha
Leo tunashinda 2
Wapuuzi hao SimbaSioni sababu ya kubaki nyuma ilihali hi ni game ya points na sio knock out.
Mzamiru anazurura tu hapo tu hapo kati, Kibu anatembeza tu matako humo uwanjani, Kagere nae ndo huyo.
Tusipokula za kizerchiefs hapa.
Berkane, Mimosa na USGN timu zote hizo zinatatizo la ulinzi