Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Berkane wanaongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayuko mchezoni leo, ila sasa nani ataingia?
Sasa hii itatugharimu kwa sababu hii game tofaut na ile iliyopita ya kwa mkapa pale nafasi zaid 5 wanafunga mojaHatuna washambualiaji wa kaliba hiyo, tunategemea viungo.
sakho haonekani kabisa
hivi kibu kwanini anauhakika wa namba?
Kibu ni kiazi siku zote, ni vile tu kocha anamuamini.kwa game kama hii kati ya Kibu na mzee wa kukera yupi alipaswa aanze