Ubaya wake ni counter attacksi umeona wakipress kama hivi hawa jamaa wanafungika kabisaa
Tulia acha uoga, tuvumilie tu ndio mpira huo.Ngoja nisepe
Anakuwa mbahatishaji tuKipa tunaye
Hahaaaa team nyingine ni ugonjwa wa moyoMpira unachezwa uwanjani Bwashee. 😁