FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Asec mimosas imetoa wachezaji Bora ulaya halafu nyie makolo mjifananishe nao?
Kolo toure
Yaya toure
Yao gervinho
Emanuel eboue
Didier zokora
Solomon kalou
Didier yakonan

Leo hamsa a.k.a mkono unawahusu👋

Pumbavu asec piga hizo kunguru
 
Mimosas wanacheza kwa malengo hata moves zao kwenda kushambulia ni kwa malengo sasa SSC sijawaelewa had sasa hv
 
Labda kipindi cha pili huenda wakabilika tusubiri tuwaone.

Ila Simba hata kama watafuzu lazima wabadilike kwa kweli na wawe makini na kazi.
Jamaa hata hawachezi kiwango cha kuridhisha kurlthibitisha wameizidi simba

Ngoja tuone halftime kutakuwa na mabadiliko gani, ila kama pablo ata delay kufanya sub ntamuona bonge la lofa
 
Hahaaaa team nyingine ni ugonjwa wa moyo

Simba siku zote inasumbua ikiwa kwenye dimba la Mkapa tu! Nje ya uwanja wa Taifa, huwa inakuwa ni timu ya kawaida sana.

Na hata itakaporudi Bongo kuja kucheza mechi za ligi kuu, kuna uwezekano wa kupoteza mechi za kutosha tu za ugenini! Au kuambulia sare, na hivyo kuwapa mwanya Yanga kuchukua ubingwa kirahisi msimu huu. Maana Yanga yenyewe inajipigia nyumbani na ugenini.
 
Onyango,Inonga na Tshabalala wamesema kipindi Cha pili hawarudi hivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuteni madefender wengine
 
Second half simuoni wa kuleta hope zaidi ya Morrison, timu haijacheza kbs first half huyu Pablo sijui kama ni kocha kweli hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom