FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Umekubali leo hamna unachoambulia, mkuu?
Second half inaweza kuwa tofauti, hawa Asec kipindi cha kwanza huwa na spidi sana lakini cha pili hupunguza spidi, waliwakimbiza USGN wakawapiga 2-0 first half, second half wakachoka jamaa wakapata goli moja ikaisha 2-1.
 
Hichi kikosi ukikiangalia hata huoni goal linafungwa na nani. Labda Sakho tu.
Next season hatutakiwi kucheka na hawa wazee, wafukuzwe wote.

Wawa, Kagere, Mzamiru, Nyoni, Mugalu, Bocco , Kibu ni takataka ambazo hazistahili kabisa kuwepo tena Simba Sc.
 
Back
Top Bottom