FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Baada ya game za leo Makolo watarudi kwenye nafasi yao ya tatu watakayoishikilia mpaka mwisho
Shida ya kuwaza kwa kutumia makalio ndio

Hata akifungwa bado ananafasi ya kumaliza kama kinara wa kundi
 
Kikosi cha Simba SC tayari kimefika kwenye Dimba la Stade de L'amitie General.
20220320_174126.jpg
 
20 March 2022
Stade de L'amitie General Mathieu Kerekou, Rue 2650
Cotonou, Benin





ANGALIZO: Timu zote yaani Asec Mimosas ya Cote d'Ivore na Simba ya Tanzanie zinacheza ktk uwanja wa 'ugenini' mjini Cotonou nchini Benin

Simba SC, leo jinsi Asec Mimosas wanavyokimbia kwa pasi za kasi na mabao ya haraka hii ni hatari vipi sisi wengine kama Azam FC, Namungo FC na Dar Young Africans tiketi zetu za kimataifa za Tanzania ziwe timu nne kweli itawezekana ?
 
Back
Top Bottom