Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Goooooal kibu anaturudishia goal la tatu hapaGoal difference itakuwa tatizo kwa upande wetu
Simba 3
Mimosas 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goooooal kibu anaturudishia goal la tatu hapaGoal difference itakuwa tatizo kwa upande wetu
Au sio? [emoji1787][emoji1787]Hii mechi hatufungwi
Note my words
Umiliki mwingi, ila hawa jamaa ni makini mno final thirdHizi sub ni nzuri sana, hata ikitokea tumefungwa siwezi laumu
Si tulikubaliana anaweza kudaka ulaya?Nasema mara ya Mwisho mtoeni Manura hamsikii
Nasema mara ya Mwisho mtoeni Manura hamsikii.Fukuza kocha fara sana haoni manura leo hatuko vizuri.
Mimosas ni msindikizaji tu wanaopita washajulikana ni Berkane na simbaMmeshakalia cha tatu sawa tuwape kingine?
We are mimosas..
Si tulikubaliana anaweza kudaka ulaya?