FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Nadhani pia huyu kochaa anakosa phylosophy ya game za kiafrica

Unamuachaje Banda , Morison na Bocco nje

Kocha Out
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wafungweeeeee!
 
Goooooli ASEC wanaandika bao la tatu hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tano ziko pale pale
 
Mohamed Hussein kafanya kosa kubwa sana la kiulinzi amekiuka misingi ya ukabaji hasa beki wa pembeni kumuachia mpinzani kukupita kiboya na kumruhusu apige cross

Haya malalamiko yanatakiwa yamfikie haraka kule kwenye ile thread yake maalum kabisa mliyo muanzishia!
Nadhani pia huyu kochaa anakosa phylosophy ya game za kiafrica

Unamuachaje Banda , Morison na Bocco nje

Kocha Out

😁😁 Malalamiko fc! Ingekuwa Bongo, mngemsingizia GSM 😁😁😁
 
Back
Top Bottom